Mmoja wa wazee wa Bodi ya Shariah, Profesa Hamad Rashid Hikmany (kushoto) akimkabidhi cheti cha usajili Mwenyekiti wa Zanzibar Treasury Sukuk one Ltd, Juma Amour Juma wakati wa kuzindua bodi ya hati ...