WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi, amebaini kuwapo wimbi la maeneo ya huduma za kijamii yakiwamo shule na nyumba za ibada kubadilishwa matumizi kwa kujengwa maduka ya ...
Rais Samia, amemteua Prof. Palamagamba Kabudi, kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakati Jerry Silaa, ameteuliwa kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. Dk. Damas Ndumbaro, ...
Rais wa Jamhuri ya Ufaransa Emmanuel Macron, siku ya Ijumaa Desemba 13, amemteua François Bayrou kama kiongozi wa serikali ya Ufaransa, kulingana na taarifa kwa vyombo vya habari kutoka Ikulu ya ...
Kiongozi wa chombo kinachodhibiti sehemu ya kaskazini magharibi mwa Syria jana Jumanne aliteuliwa kuwa waziri mkuu wa muda wa nchi hiyo wa serikali ya mpito. Mohammed al-Bashir ndiye mkuu wa ...
MTANGAZAJI na mwigizaji maarufu nchini Mwemba Burton ‘Mwijaku’ ameandika barua kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kumuomba afute tuzo zinazotolewa kiholela na baadhi ya taasisi nchini, nyingi zikikiuka ...
UFARANSA : WAZIRI MKUU wa Ufaransa Michel Barnier kajiuzulu leo baada ya wabunge wa mrengo mkali wa kulia na wa kushoto kupiga kura kumuondoa madarakani. Kura hiyo ya wabunge imeitumbukiza Ufaransa ...
Wengine waliopo ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson, Mkurugenzi wa WHO Afrika Dk Moeti, Naibu Waziri Mkuu, Dk Doto Biteko na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk ...
Waziri huyo akizungumza katika mji huo mkuu wa jimbo la Kivu Kaskazini, alitishia kumkamata Rais Paul Kagame na Wanyarwanda wote na Wakongo wanaomuunga mkono. "Nchi yetu haitatawaliwa na ...
Waziri Mkuu wa Sri Lanka Ranil Wickremesinghe amewaambia wanajeshi kufanya "chochote kinachohitajika kurejesha utulivu" baada ya waandamanaji kuvamia ofisi yake siku ya Jumatano. Bw Wickremesinghe ...
Shinzo Abe Waziri mkuu wa Japan aliyehudumu kwa kipindi kirefu alikjulikana kwa sera yake ya kimataifa na mkakati wake wa kiuchumi ambao baadaye ulijulikana kama ‘Abenomics’. Mzalendo wa ...