UFARANSA : RAIS wa Ufaransa, Emmanuel Macron, ametangaza uteuzi wa François Bayrou kuwa Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo, akilenga kuondoa mgogoro wa kisiasa unaoikumba Ufaransa. Bayrou anatarajiwa kuwa ...
GUINEA: Mahakama nchini Guinea imemhukumu aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Mohamed Diane, kifungo cha miaka mitano jela kwa makosa ya rushwa, utajiri wa haramu, ubadhirifu na utakatishaji fedha. Diane, ...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk. Pindi Chana amewaasa watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii na Taasisi zake kutekeleza majukumu yao kwa ubunifu katika kuendeleza Sekta ya Maliasili na ...
Serikali ya mpito ya Bangladesh imeiomba India kumrejesha Waziri Mkuu wa Bangladesh aliyeondolewa madarakani Sheikh Hasina. Hasina alikimbilia katika nchi hiyo ya jirani mwezi Agosti kufuatia wiki ...
Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amewataka makandarasi wanaotekeleza miradi ya barabara zikiwemo za mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT), kuhakikisha wanakamilisha kazi kwa sehemu ...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega. WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amewasisitiza Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kuhakikisha wanafanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha miradi ya dharura ...
Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema anatarajiwa kuzikwa Jumamosi Januari 4, 2025 Butiama mkoani Mara. Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamsaka dereva wa kampuni ya mabasi ya ...
Waziri mkuu huyo wa zamani alikuja kumpa mkuu wa nchi waraka uliokuwa na mapendekezo yake ya kujondokana kwenye mpito wa kisiasa. Nchini Gabon, ishara ya utulivu wa kisiasa. Alain-Claude Bilie-By ...
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Benki ya Akiba imezindua kampeni ya kidijitali ijulikanayo kama 'Twende Kidijitali' ili kutoa suluhisho la changamoto za kifedha. Kampeni hiyo iliyozinduliwa ...
Rais wa Jamhuri ya Ufaransa Emmanuel Macron, siku ya Ijumaa Desemba 13, amemteua François Bayrou kama kiongozi wa serikali ya Ufaransa, kulingana na taarifa kwa vyombo vya habari kutoka Ikulu ya ...
Walus anatazamiwa kuondoka nchini Afrika Kusini Ijumaa usiku na serikali ya Poland itagharamia kuhamishwa kwake, alisema waziri wa mambo ya ndani Leon Schreiber. Waziri wa Afrika Kusini katika ...