Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk. Pindi Chana amewaasa watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii na Taasisi zake kutekeleza majukumu yao kwa ubunifu katika kuendeleza Sekta ya Maliasili na ...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega. WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amewasisitiza Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kuhakikisha wanafanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha miradi ya dharura ...
Waziri mkuu huyo wa zamani alikuja kumpa mkuu wa nchi waraka uliokuwa na mapendekezo yake ya kujondokana kwenye mpito wa kisiasa. Nchini Gabon, ishara ya utulivu wa kisiasa. Alain-Claude Bilie-By ...