"Uamuzi huu ni mbaya sana," anasema mwanablogu na mtumishi wa jeshi Yuriy Kasyanov, ambaye anadhani Marekani "haitaisaidia Ukraine kwa chochote" baada ya mkataba wa madini kutiwa saini. Jana usiku ...