UNGUJA, Zanzibar: MFUKO wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) umekamilisha ujenzi wa Kituo cha Afya Upenja katika Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kazkazini Unguja, visiwani Zanzibar chenye thamani ya Sh ...
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Benki ya Akiba imezindua kampeni ya kidijitali ijulikanayo kama 'Twende Kidijitali' ili kutoa suluhisho la changamoto za kifedha. Kampeni hiyo iliyozinduliwa ...