Ndani ya uwekezaji kiafya unaoendelea nchini, Rais Dk. Samia, amwekeza pia katika vifaa kukiwapo shilingi bilioni 14.9 zilizozinduliwa na aliyekuwa Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, kusaidia ununuzi wa ...
Spika wa Bunge, Dk.Tulia Ackson, aliyasema hayo juzi bungeni baada ya kuipa nafasi serikali kutafuta majibu sahihi kufuatia maswali ya nyongeza ya Mbunge wa Viti Maalumu (CHADEMA), Agnesta Kaiza.
Dodoma. Sakata la utoro wa mawaziri, naibu mawaziri na wabunge bungeni limewaibua wachambuzi wa masuala ya siasa baadhi wakirudisha mpira kwa Spika wa Bunge kutumia kanuni kukomesha hali hiyo. Baadhi ...
Kutokuwa na wingi wa viti kuna maana itakuwa vigumu kwa Waziri Mkuu Ishiba kupitisha bungeni sera za chama chake, na huenda akahitajika kumtafuta mshirika wa tatu katika muungano tawala.
Vyombo vya habari nchini Japan, vinatabiri kwamba chama tawala nchini humo kilichokumbwa na kashfa kitakosa wingi wa viti bungeni kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2009. Vyombo vya habari nchini ...
Wakati wa uamuzi wa Bunge la Seneti, Rigathi mwenye umri wa miaka 59 hakuwa Bungeni, madaktari wake wakilieleza bunge kwamba mteja wao alikuwa amelazwa hospitalini akiwa na maumivu makali ya kifua.
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema ikiwa mwanafunzi ataumwa au ana matatizo ya kupumua anastahili kuepuka maeneo yenye msongomano wa watu na kuvua barakoa ili apate hewa safi na kutafuta usaidizi.
WaTanzania wameombwa "wasiwe na hofu" kuhusu kusambaa kwa Ebola, waziri wa afya Ummy Mwalimu amesema kufuatia taarifa za Ebola kuingia Uganda kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo. Mpaka wa ...