MWALIMU wa taaluma katika Shule ya Msingi Rulanda, wilayani Muleba, mkoani Kagera, anatuhumiwa kumbaka na kumnywesha vitu vinavyodhaniwa kuwa dawa za kulevya, mhitimu wa darasa la saba aliyefika ...
Hoja zingine zinazohusiana na utekelezaji mradi wa kuchakata na kusindika gesi asilia (LNG), kutokamilika kwa wakati Mradi wa Bwawa la Uzalishaji wa Umeme la Mwalimu Nyerere (JNHPP) na utaratibu wa ...
Vyombo vya habari nchini Japan, vinatabiri kwamba chama tawala nchini humo kilichokumbwa na kashfa kitakosa wingi wa viti bungeni kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2009. Vyombo vya habari nchini ...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum) George Mkuchika, wakati wa kikao cha sita cha Mkutano wa Kumi na Saba wa Bunge, Bungeni jijini Dodoma leo ...
Kutokuwa na wingi wa viti kuna maana itakuwa vigumu kwa Waziri Mkuu Ishiba kupitisha bungeni sera za chama chake, na huenda akahitajika kumtafuta mshirika wa tatu katika muungano tawala.
Dodoma. Sakata la utoro wa mawaziri, naibu mawaziri na wabunge bungeni limewaibua wachambuzi wa masuala ya siasa baadhi wakirudisha mpira kwa Spika wa Bunge kutumia kanuni kukomesha hali hiyo. Baadhi ...
Wakati Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina akirejea bungeni na kuonyesha uwepo wake, Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amembananisha kuhusu kauli yake kuwa Kampuni ya DP World inatoza kodi. Dodoma.
Wakati wa uamuzi wa Bunge la Seneti, Rigathi mwenye umri wa miaka 59 hakuwa Bungeni, madaktari wake wakilieleza bunge kwamba mteja wao alikuwa amelazwa hospitalini akiwa na maumivu makali ya kifua.