Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amewataka watanzania kutumia dawa za asili katika mapambano dhidi ya Covid-19 Akizungumza Jijini Dodoma hii leo, amesisita juu ya matumizi ya miti shamba pia ...
"Wanasayansi wanaweza kuhoji. Tiba asili ya China haiwezi kuhojiwa kwa sababu dawa ya mitishamba sio sayansi," mtumiaji mmoja alitoa maoni yake katika mtandao wa Weibo. Dkt Lao anasema namna pekee ...