Katika ujumbe wake wa Krismasi, Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amewatolea wito watu wa mataifa yote kuwa na ujasiri wa kunyamazisha sauti za ... ya kupata rehema ya Mungu ...
Kupanga uzazi ni sehemu muhimu ya afya, kwani husaidia wanawake kudhibiti idadi ya watoto wanapokuwa nayo, na pia ina athari kubwa katika afya yao ya kimwili na kihisia. 17/12/2024 09:42 ...
Dar es Salaam. Serikali imetangaza nafasi 3,633 za ajira za ualimu huku nyingi zikiwa za masomo ya amali. Nafasi hizo zimetangazwa kupitia Sekretarieti ya Ajira jana Ijumaa Desemba 13, 2024, huku ...
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ruaha (Ruco), Profesa Pius Mwageni licha ya salamu za pole kwa wanafunzi wenzake na jamii iliyokuwa ikiishi na marehemu huyo wakati wa kuuaga mwili huo leo chuoni hapo, ...
KUNA mambo tunatarajia kuyaona yakifanywa na sisi hapa kijiweni lakini inapofikia hatua unayaona kwa watu ambao hawakupaswa kuyafanya kutokana na nafasi zao au taasisi walizopo inashangaza kidogo.
Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango, ametoa wito kwa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, halmashauri na Wizara ya Ardhi kushirikiana kuhakikisha nyumba za watumishi wa umma ...
Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba. Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Serikali imesisitiza dhamira yake ya kuchukua hatua kali dhidi ya taasisi za fedha zinazotoa mikopo ya “umiza” yenye riba ...
Ripoti za vyombo vya habari zinasema waendesha mashtaka wamefungua kesi dhidi ya Waziri wa zamani wa Ulinzi Kim Yong-hyun. Imeripotiwa kuwa anachunguzwa na amepigwa marufuku kusafiri.
zingekuwa na mwelekeo wa 'kushuka' pamoja na mandharinyuma ya kijani kibichi - tatizo ambalo linatokana na siku za zamani za kuondolewa kwa rangi ya emulsion ya picha. katika miaka ya 1970 na 1980.
Australia inapanga kuunda manowari 11 kwa lengo la kubadilisha manowari zake za zamani zinazochakaa. Japani iliamua kuwania mkataba huo baada ya majadiliano yaliyojikita kwenye kanuni zake tatu ...
Rais wa zamani kwa sasa anaongoza muungano mpya wa upinzani akiwa katika nchi ya kigeni, suala ambalo wachambuzi wa masuala ya kisiasa wanahoaji nia yake ya kutaka kurejea tena kwenye siasa za ...