Mwanzoni mwa mwezi Desemba, baada ya kutokea moto mkubwa katika shule ya bweni katikati mwa nchi, Wizara ya Elimu ilitangaza kufungwa kwa shule karibu 350 za bweni, kutokana na kushindwa kwao ...
hasa wanapojisahau katika matumizi na kusahau kwamba Januari inasubiri na majukumu mazito ya kifedha, yakiwemo ada za shule, sare, vitabu, na mahitaji mengine ya msingi ya wanafunzi. Na hivi ...