Kabla ya kuichezea PAOK nyota huyo wa zamani wa Mbagala Market, Simba na TP Mazembe ya DR Congo, aliwahi kupita kwa timu za Fenerbance ya Uturuki, Genk, Antwerp (Ubelgiji) na Aston Villa ya Uingereza.
Katika kujifunza lugha ya Kiswahili hii leo mchambuzi wetu mlumbi wa Kiswahili Joramu Nkumbi kutoka nchini Tanzania, anafafanua maana ya maneno “MBUKU NA MSUNUNU.” Jifunze Kiswahili: Maana ya maneno ...
Mkoa wa Tanga uliopo Kaskazini mwa Tanzania umekuwa msitari wa mbele katika kuhakikisha hilo kupitia vifaa mbalimbali vya kitamaduni ambavyo vimekuwa vikitumika enzi na enzi katika jamii na sio tu ...
Ukraine itatumia ndege za kivita za F-16 zilizopatikana kutoka nchi za Magharibi. Ukraine itapokea ndege 65 za kivita kati ya 2024 na 2025. Kwa miaka miwili iliyopita, viongozi wa Ukraine wamekuwa ...
Rais mpya wa Marekani Joe Biden ameanza kutengua sera kadhaa muhimu za Donald Trump ... Amanda Gorman, ni mwanamashairi mdogo zaidi alighani shairi lake katika shughuli hiyo.