Dar es Salaam. Staa wa Bongofleva, Rayvanny ameachia albamu ya pili, The Big One (2024) yenye nyimbo 18 ikiwa ni ya kwanza chini ya lebo yake ya Next Level Music (NLM) na tangu ameondoka WCB Wasafi ...
Na kwa imani watu wanafuata mkumbo na kujikuta wameangukia kwenye utapeli wa namna hii. Ni muhimu kuelewa viashiria vya hatari na kujua njia salama za kuwekeza. Mosi. Tambua dalili za utapeli. Hizi ...
Miongoni mwa waliojitokeza kupiga kura katika uchaguzi wa leo katika mji mkuu Windhoek ni makamu wa Rais na mgombea wa chama tawala cha SWAPO Netumbo Nandi-Ndaitwah mwenye umri wa miaka 72. Kama ...
Vyama vya siasa vimetumia dakika za lala salama kurusha turufu zao za mwisho kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika kesho nchi nzima. Viongozi wa vyama vya siasa wametumia ...