Kitu cha kwanza walichokifanya ni kununua mikate, soseji na maji. Nadia Denysenko na watoto wake walikuwa wametoroka baada ya wiki tatu huko Mariupol, chini ya kuzingirwa na kushambuliwa mara kwa ...