SERIKALI imatoa shilingi milioni 75 kuchangia ujenzi wa sekondari mpya ya Kijiji cha Muhoji, Jimbo la Musoma Vijijini, mkoani ...
Shule hizo ni Tanga Tech, Moshi Tech, Musoma Tech, Bwiru Boys, Ifunda Tech, Iyunga Tech. Mtwara Tech, Mwadui Tech na Chato. "Na vivyo hivyo mgawanyo wa nafasi katika shule za bweni kitaifa katika kila ...
DAR ES SALAAM; MAKANISA mbalimbali nchini yameendesha ibada ya kuukaribisha Mwaka Mpya 2025 huku viongozi wake wakitaka ...
Siku ya kufa nyani miti yote huteleza, ni usemi unaoleza namna washtakiwa wa ujambazi wanaodaiwa kuvamia nyumba ya kulala na ...
UTAMU wa Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) unaendelea leo kwa mechi tano za kufungia mwaka, huku macho na masikio ya mashabiki ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara, linawashikilia watu wanane kwa tuhuma za kuvunja vibanda 15 vya maduka na kuiba mali ambazo ...
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Benki ya Akiba imezindua kampeni ya kidijitali ijulikanayo kama 'Twende Kidijitali' ili kutoa suluhisho la changamoto za kifedha. Kampeni hiyo iliyozinduliwa ...