WILAYA ya Musoma ni moja ya wilaya za mkoa wa Mara, hasa jimbo la Musoma Vijijini, wana habari njema katika mikakati ya elimu ...
FEDHA za Mfuko wa Jimbo la Musoma Vijijini mkoani Mara, ambazo ni Sh.milioni 75.7 zimetumika kununua vifaa vya ujenzi wa shule mbalimbali jimboni humo ikiwa ni sehemu ya kuboresha elimu. Hayo ...
Katika kipindi cha utumishi wake bungeni, Heche alijitokeza kwa kuwasilisha maswali 34 na michango 26 katika vikao vya Bunge.
Baadhi ya wadau wa sekta ya kodi mkoani Mara wamependekeza kupunguzwa kwa wingi wa kodi ili kuimarisha uchumi wa taifa.
Kentucky, MAREKANI MSANII wa kizazi kipya anayefanya vyema nchini Marekani, Omari K, ameweka wazi ujio wa albamu yake fupi (EP) aliyoipa jina la I AM ...
katika Manispaa ya Musoma mkoani Mara, Paulo Kindamba aliwataka waumini na wananchi kutenga muda wa kuwa na familia zao, kwa kuwa na mshikamano katika familia ili kuepuka changamoto na vizuizi ...