Kumekuwa na wasiwasi miongoni mwa wakaazi wa wilaya ya Musanze kaskazini mwa rwanda baada ya washambuliaji kuwaua watu 14 wiki iliyopita. "Hali ni mbaya, tunaogopa sana wanaweza kurudi na kuwaua ...