kinakutana kuanzia siku ya Jumanne huko Dubai kwa mkutano wake wa mashauriano chini ya uweyekiti wa Falme za Kiarabu. Kwa upande wa Bangui, wanasema jambo kuu la ajenda ni kuondoa jumla ya vikwazo ...
Kipingu ambaye ameacha historia kubwa si tu kwa wanamichezo wengi, pia waigizaji na wanamuziki katika sehemu ya pili ya mahojiano na gazeti hili ameeleza siri ambayo wengi hawaifahamu kuhusu mandhari ...
Ujerumani inaadhimisha siku ya Jumamosi kuanguka kwa Ukuta wa Berlin, ulioanguka miaka 35 iliyopita, huku kukiwa na shangwe nyingi ambazo ni tofauti na hali ya giza ya sasa, inayohusishwa hasa na ...
Uzalishaji wa methani unaosababishwa na binadamu unawajibikia takriban theluthi moja ya ongezeko la joto duiani kwa sasa. Kupunguza uzalishaji huu ndiyo njia ya haraka zaidi, ya gharama nafuu zaidi ya ...
Dar es Salaam. Wakati takwimu zinaonyesha kuna ongezeko la wanaougua magonjwa ya akili nchini, hali ya upatikanaji wa dawa kwa kundi hilo bado ni changamoto kutokana na gharama kubwa zinazohitajika.
Amy Brown, mtendaji wa zamani wa huduma ya afya, alianzisha Authenticx mnamo 2018 ili kusaidia mashirika ya afya kufungua uwezo wa data ya mwingiliano wa wateja. Akiwa na tajriba ya miongo miwili ...
Rais wa Georgia Salome Zourabichvili apinga matokeo ya uchaguzi wa bunge uliofanyika Jumamosi, kwa madai ya udanganyifu mkubwa, na kutoa wito wa maandamano, kupinga chama tawala cha Georgian Dream.
Mfalme Charles wa Uingereza amesema Jumuiya ya Madola inapaswa kutambua historia yake "chungu" kuhusu utumwa. Kauli hiyo ameitoa wakati mataifa ya Kiafrika na Karibiani yakizidi kushinikiza ...
Raia wa Uganda wana historia tofauti na lugha ya Kiswahili. Watu wengi wanaichukulia lugha hiyo kwa aina fulani ya uwoga . Wanadai ilitumiwa katika serikali zilizopita za Idd Amin na Milton ...
Picha za satalaiti zinaonesha kuwa msitu huo mkubwa zaidi duniani unateketea kwa kasi inayovunja rekodi. Amazon inaangaliwa kimataifa kwa kuwa asilimia 20 ya hewa safi duniani kote inazalishwa ...