Waziri mpya wa mambo ya ndani wa Syria amesema askari14 wameuawa na 10 kujeruhiwa katika mapigano na wanajeshi wa utawala wa zamani wa Bashar al-Assad karibu na mji wa Tartus.
KIBAHA, Pwani: MKUU wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, ameonesha kuridhishwa na jitihada zinazofanywa na wadau mbalimbali mkoani humo ikiwemo kampuni ya Taifa Gas katika kufanikisha kampeni ya ...
WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalum, Dk.Doroth Gwajima amesema Mkoa wa Mara umeendelea kupiga hatua katika kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia ukiwemo ukeketaji ...
Samia Suluhu Hassan ameelekeza Maadhimisho ya Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara kwa mwaka 2024 yafanyike katika ngazi ya mikoa na Fedha zilizotengwa katika kila taasisi kwa ajili ya maadhimisho hayo ...