Daktari wa klabu ya Pamba Jiji, Joseph Chacha amesema wachezaji wako sawa kiafya baada ya ajali ya gari iliyotokea leo mkoani ...
Baadhi ya wadau wa mpira wa miguu mkoani Lindi, wamewataka wazazi wawape fursa watoto wa kike kushiriki michezo hasa mpira wa ...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Sheria Tanganyika (TLS) Mkoa wa Kagera, Seth Jacob Niyikiza, amefariki dunia nyumbani kwake ...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Mkoa wa Kagera, Seth Niyikiza amefariki dunia akiwa kajifungia ...
Francis Butoto (64), mkazi wa Kijiji cha Kishanda, Kata ya Kibare, Tarafa ya Murongo, Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera, ameuawa na mwili wake kufukiwa kwenye shimo la choo lililokuwa likitumiwa kijana w ...
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa ( ALAT) Taifa Murshidi Ngeze amefanya dua kumuombea Rasi Samia Suluhu kwa ...
UPDF wameimarisha uwepo wao wiki hii katika mji huu, mji mkuu wa mkoa wa Ituri, kaskazini-mashariki mwa DRC. Lengo la mkutano huo lilikuwa kuratibu operesheni za pamoja kati ya nchi hizo mbili ...
Operesheni ya pamoja na jeshi la Kongo kuwasaka waasi wa ADF, haswa katika mkoa wa Kivu Kaskazini na sasa huko Ituri. Tangazo la jeshi la Uganda linaenda sambamba na kusonga mbele kwa waasi wa M23 ...
KAGERA Sugar imemaliza ukame wa ushindi baada ya kushinda nyumbani wa mabao 3-0 dhidi ya Fountain Gate ikiwa kwenye Uwanja wa Kaitaba, mjini Bukoba huku mshambuliaji raia wa Uganda, Peter Lwasa ...
KAGERA:MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Kagera imekusanya Sh bilioni 92.3 kwa kipindi cha Julai – Desemba sawa na asilimia 114 ukilinganisha Sh bilioni 80.9 zilizopangwa kukusanywa. Meneja wa ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果