milioni 89.8) imeahirishwa hadi Januari 14, 2025. Kesi hiyo iliahirishwa jana na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mwanzo Wilaya ya Dodoma, Eligy Magalla, kutokana na hakimu ambaye alikuwa akisikiliza ...
Dar es Salaam. Matukio ya watu kudaiwa kutekwa yameendelea kuripotiwa nchini, baada ya jana kudaiwa kutekwa kwa mkazi wa Dar es Salaam, Dastan Mutajura eneo la Buza -Sigara. Taarifa za kutekwa kwa ...
Katika kesi hiyo ya trafiki namba 188/2025, Charles ameitwa katika Mahakama ya Wilaya ya Magu mkoani humo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Erick Kimaro na kusomewa shitaka hilo lenye makosa 22. Akimsomea ...
JESHI la Polisi mkoani Kagera linawashikilia watuhumiwa wawili wanaodaiwa kumuua Editha Andeson (32), mkazi wa Kilimahewa, Manispaa ya Bukoba. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Blasius Chatanda jana ...
Mtuhumiwa huyo alikiri mwenyewe kuhusuka katika wizi huo kwa kuiba simu tatu ambazo mbili aliziuza kwa mkazi wa Kibamba na nyingine ameiuza kwa mtu anayeishi nje ya Mkoa wa Dar es Salaam. Kwa mujibu ...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imempandisha kizimbani Vicent Massawe ‘bwana harusi’ kwa makosa mawili ambayo wizi wa gari lenye thamani ya shilingi milioni 15 na utapeli wa fedha Sh milioni 3.