KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi ameelekeza mambo manne kwa wanachama wa chama hicho wakati wa mchakato wa Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka ...