Miaka 30 iliyopita, kulikuwa na staa mmoja wa soka la Colombia, ambaye aliuawa kwa kupigwa risasi huko kwao. Unajua ilikuwaje? Ni stori ya kuhuzunisha ya Andrés Escobar Saldarriaga (Gentleman), moja ...
Yanga imetoa taarifa ikiwa imepita siku moja tangu kuahirishwa Dabi ya Kariakoo ambapo imedai kukosa imani na Kamati ya Usimamizi wa Ligi. "Nilitokwa machozi ya furaha, sikutarajia jambo hili, maana ...
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Makongoro Nyerere ameshinda tuzo ya kiongozi mchekeshaji Tanzania ‘Best Funny Leader Of The Year’ katika tuzo za Tanzania Comedy Awards. Makongoro ambaye ni mtoto wa Baba wa ...
Rais wa Yanga, Hersi Said amevunja ukimya kuhusu ndoa ya nyota wa timu hiyo, Stephane Aziz Ki na Hamisa Mobetto. Ndoa hiyo ilifungwa jana Februari 16, 2025 katika Msikiti wa Masjid Nnuur uliopo Mbweni ...