Makala imeangazia namna ambavyo polisi nchini Kenya walivyotawanya maandamano ya wanaharakati ... inatatiza usalama wa mashariki, siasa za Tanzania, Sudani, na Francois Bayrou ateuliwa kuwa ...
Takribani watu watatu wamekamatwa, huku waandamanaji wengine wakidai kuwa polisi ilipinga kufanya maandamano. “Tuliomba kibali lakini mamlaka ilizuia kufanyika kwa maandamano,” mratibu wa ...
KOREA KUSINI : MAELFU ya watu nchini Korea Kusini wanatarajia kufanya maandamano kesho Jumamosi kumpinga Rais Yoon Suk Yeol. Waandaaji wa maandamano hayo wamesema wanakadiria kuwa takriban watu ...
Maelfu ya polisi na jeshi walianzisha operesheni muda mfupi baada ya usiku wa manane kuyavunja maandamano hayo. Waziri wa Habari Attaullah Tarar amesema serikali ililazimika kuamuru msako mkali ...
Katika taarifa yake Sharif amekosoa maandamano hayo akisema si ya amani na kuyataja kama ya "itikadi kali," yenye "malengo maovu ya kisiasa." Waandamanaji hao walipora magari na kuteketeza kibanda ...
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga amesema ataendelea kuongoza maandamano dhidi ya serikali kutaka gharama ya maisha kupunguzwa na kufunguliwa kwa seva za Tume ya Uchaguzi. Muungano wa ...
Maandamano yazuka Israel baada ya Netanyahu kumfuta kazi Waziri wa Ulinzi 6 Novemba 2024 Uchaguzi serikali za mitaa: Mamia ya wagombea wa upinzani Tanzania waenguliwa, waapa 'kutosusia shamba' ...