Simiyu. Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenani Kihongosi ameagiza Polisi wilayani Maswa kuondoka na wananchi wawili waliotoa tuhuma za kuwepo vitendo vya utekaji, kupotezwa na kuuawa watu wazima na watoto ...
Hatimae alikua kiongozi wa na mtunzi mkuu wa kwaya, akijikita zaidi katika nyimbo za Zulu waliocheza densi ya isicathamiya kikundi cha Afrika Kusini cha muziki wa kitamaduni ambao mara nyingi ...