Yanga imeanza vibaya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikifungwa mabao 2-0 nyumbani dhidi ya Al Hilal kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Mabao ya Adama Coulibaly dakika ya 63 na ...