MRADI wa upanuzi wa uwanja wa Ndege Ibadakuli katika Manispaa ya Shinyanga, mkoani hapa unatarajiwa kukamilika Aprili mwakani na kuanza kutoa huduma kwa wananchi. Hayo yalibainishwa juzi na Mhandisi ...
Azerbaijan. Rais wa Azerbaijan, Ilham Aliyev ameitaka Russia kukubali kuwa ilihusika moja kwa moja katika kuidungua ndege ya Shirika la Ndege la Taifa hilo iliyosababisha vifo vya abiria 38 huku ...
Waokoaji wanahofia huenda watu wote 181 waliokuwemo ndani ya ndege hiyo wameangamia isipokuwa watu wawili ambao wamenusurika. https://p.dw.com/p/4oelB Kulingana na ...
Mkuu wa Shirika la Afya Duniani na wafanyakazi wengine wa Umoja wa Mataifa walikuwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Yemen mjini Sanaa siku ya Alhamisi wakati wa shambulizi la anga la Israel.
Aelezea masikitiko yake kufuatia vifo vya watu kwenye ajali hii Atuma salamu za rambirambi kwa wafiwa na serikali za nchi zao Awatakia ahueni ya haraka majeruhi Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, ...
Vyombo vya Habari vya nchini Azerbaijan vimeripoti juu ya kuanguka kwa ndege ya abiria ya shirika la taifa hilo karibu na mji wa Aktau kwenye nchi jirani ya Kazakhstan. Kwa mujibu wa taarifa watu ...
Shinyanga. Ujenzi wa kiwanja cha ndege Ibadakuli katika Manispaa ya Shinyanga umefikia asilimia 80 na unatarajiwa kukamilika Aprili 2025. Mradi huo unaofadhiliwa na Serikali ya Tanzania na kutekelezwa ...
MFANYABIASHARA Khamis Luwongo (38) amedai mahakamani kuwa alilidanganya Jeshi la Polisi kwamba alimuua na kuchoma moto mwili wa mke wake Naomi Marijani kutokana na mateso aliyokuwa akiyapata, hivyo ...
TANZANIA imepiga hatua kubwa katika sekta ya anga, ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa idadi ya abiria waliotumia viwanja vyake vya ndege hadi milioni 6.8 mwaka 2023 kutoka milioni 2.8 mwaka 2020. Kabla ...
Nahisi kana kwamba nimezaliwa upya, aliambia chombo cha habari cha NTV nchini Kenya''. Makundi ya watu waliokongamana kandokando ya mto huo walifurahia wakati ndege aina ya helikopta ya maafisa wa ...
Serikali ya Marekani imeidhinisha mpango wa kuliuzia jeshi la Kenya ndege 14 za kijeshi zenye thamani ya dola milioni 418, Idara ya ulinzi nchini humo imetangaza. Ndege hizo zitatumika katika vita ...