MASTAA wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), wanatarajia kuunda timu zao zitakazoshiriki katika mashindano ya Kombe ...
Kushindwa kupigwa kwa pambano la Dabi ya Kariakoo Jumamosi iliyopita kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam bado ni ...
Waziri Mkuu Mstaafu, Joseph Warioba, amesema Prof. Philemon Sarungi alikuwa miongoni mwa viongozi waliotoa mchango mkubwa ...
Sakata la Simba kuzuiwa kufanya mazoezi yake ya mwisho na mabaunsa na maafisa wanaoaminika kuwa wa Yanga katika uwanja wa ...
NAMNA ambavyo shabiki mmoja na wenzake wamejibana katika Coaster la kutoka Simiyu kuja Dar es Salaam kutazama pambano ...
Klabu ya Simba imeamua kutoshiriki mchezo wake wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Yanga SC Jumamosi, Machi 8, katika Uwanja wa ...
Serikali kupitia Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam imezindua mpango wa kuwapatia mikopo vijana wanaotaka kujiajiri na kujipatia kipato kwa kufanya kazi masaa 24, ikiwa ni hatua ya kupambana na ...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa, Albert Chalamila akizungumza na waandishi wa habari na wafanyabiashara wa Kariakoo katika uzinduzi wa ufanyaji biashara saa 24. Dar es Salaam. Wakati baadhi ya ...
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk. Selemani Jafo, ameunda kamati maalumu ya watu 15 kuchunguza wingi la wageni kufanyabiashara za uchuuzi ‘Umachinga’ katika eneo la Kariakoo, Dar es Salaam. Hatua hiyo ...
Katibu Tawala Msaidizi Mkoa wa Dar es Salaam anayeshughulikia Miundombinu, Mhandisi Amani Mafuru, amesema soko jipya litakuwa na mita za mraba 40,000 na nafasi za biashara zaidi ya 3,000 kutoka 1,600 ...
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amesema Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam ipo tayari kushirikiana na mamlaka nyingine ikiwemo Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ili kuhakikisha ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果