Mdete na wenzake wanakabiliwa na mashtaka 31 ya kuua bila kukusudia katika kesi ya mauaji namba 33633/2024 katika Mahakama ya ...
Soko la Kariakoo ni soko la kimataifa kwa sasa linalotegemewa ... Hili si tukio la kwanza la jengo kuporomoka katika jiji la Dar es salaam katika miaka ya hivi karibuni. Mwaka 2006, jengo ...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa) wameanza utekelezaji wa agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es ...
KAMA kuna kitu kinachowauma mastaa wa Yanga ni kitendo cha watani wao, Simba kuamua kuikacha mechi ya Ligi Kuu ya Dabi ya ...
MWISHO wa ubishi. Wakati pambano la Dabi ya Kariakoo likipigwa leo Jumamosi, huku kila upande ukitamba na washambuliaji wenye ...
VIJANA wanne wakazi wa Dar es Salaam wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, wakituhumiwa kuchepusha mizigo ya vifaa vya magari iliyokuwa ikielekea nchini Congo wao wakaipel ...
Kamishna Jenerali, alisema hayo alipokuwa akitoa taarifa ya shughuli za uokoaji zinazoendelea kufuatia jengo hilo kuporomoka Kariakoo, Dar es Salaam, Jumamosi Novemba 16, 2024. Kwa mujibu wa ...
Klabu ya Simba imeamua kutoshiriki mchezo wake wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Yanga SC Jumamosi, Machi 8, katika Uwanja wa ...
Serikali kupitia Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam imezindua mpango wa kuwapatia mikopo vijana wanaotaka kujiajiri na kujipatia kipato kwa kufanya kazi masaa 24, ikiwa ni hatua ya kupambana na ...