MRADI wa upanuzi wa uwanja wa Ndege Ibadakuli katika Manispaa ya Shinyanga, mkoani hapa unatarajiwa kukamilika Aprili mwakani na kuanza kutoa huduma kwa wananchi. Hayo yalibainishwa juzi na Mhandisi ...
Wananchi wa Kata ya Uru Shimbwe, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, wamelalamikia kusitishwa kwa ujenzi wa mnara wa mawasiliano uliokuwa unajengwa, hali inayowafanya kuendelea kuishi ...
Vyombo vya habari nchini Korea Kusini vinasema polisi wamefanya upekuzi kwenye ofisi za shirika la ndege la Jeju Air na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Muan kama sehemu ya uchunguzi wao kufuatia ...
Katika chapisho la mtandao wa kijamii, Mkurugenzi Mkuu wa WHO Tedros Adhanom Ghebreyesus alisema yeye na wafanyikazi walikuwa karibu kupanda ndege wakati uwanja wa ndege ulipopigwa na angani.
Mbunge aitaka Urusi kubeba lawama na kutoa fidia Mbunge wa Azerbaijan, Rasim Musabekov, alidai kuwa ndege hiyo ilipigwa na mfumo wa ulinzi wa anga wa Urusi wakati ikipita angani juu ya Grozny na ...
Israel ilifanya mashambulizi ya anga kwenye maeneo kadhaa yanayohusiana na Wahuthi nchini Yemen, yakiwemo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa ... yaliyotajwa kama ishara ya mshikamano na Wapalestina.
Dakika chache baada ya mashambulizi hayo, Tedros aliandika kwenye ukurasa wa akaunti yake ya X (zamani Twitter): “Wakati tukisubiria kuingia kwenye ndege yetu kutokea Sana’a, saa kama mbili ...
Mamlaka za Urusi juzi Jumatano zilitoa kile zilichokielezea kuwa ni taarifa ya awali. Zimesema ajali hiyo huenda ilisababishwa na ndege wa angani waliopiga injini ya ndege.