Rumanyika anasema kwenye kitongoji hicho ndipo chimbuko na alipozaliwa Muzeeyi au Jean-Marie, mmoja wa waumini hao 22 wa Kikristo, waliouawa nchini Uganda wakati wa utawala wa Mfalme Kabaka Mwanga wa ...