“Natumia taa ya umeme jua wakati wa uvuvi usiku, napata dagaa wengi ambao nikiwauza wananisaidia kukuza kipato changu, ninasomesha na kupata mahitaji mengine kutokana na dagaa,” anaeleza Frank. Naye, ...
Wizara ya michezo nchini Kenya imesema "inachukua hatua madhubuti" kuzuia uwezekano wa kupigwa marufuku kwa wanariadha wake kimataifa kufuatia msururu wa visa vya matumizi ya dawa za kutunisha misuli.