Vyama sita vya upinzani nchini Korea Kusini jana Jumatano vimewasilisha mswada katika Bunge la Kitaifa wa kumng’oa madarakani Rais Yoon Suk-yeol. Hatua hiyo imekuja baada ya Yoon kutangaza ...
“Timu baada ya kuondoka Dar es Salaam inatarajiwa kufika hapa Algeria kesho (leo Jumatano) majira ya mchana,” alisema mtoa taarifa huyo ambaye ... katika mchezo wa mwisho wa kufuzu hatua ya makundi ...
Picha na Joseph Lyimo Mirerani. Wakazi wa mji mdogo wa Mirerani, Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, wamejitokeza kwa wingi kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaofanyika leo, Jumatano, Novemba ...
Wakizungumza na Mwananchi leo Jumatano Novemba 27, 2024 wakiwa kwenye vituo vya kupigia kura ... huku akionya mtu asithubutu kuleta vurugu kwa sababu hatua kali zitachukuliwa kwa yeyote atakayejaribu ...
WAKATI Simba ikiwa kambini jijini Dar es Salaam kujiandaa na michezo mbalimbali ikiwemo ya Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho Afrika, inaelezwa uongozi wa klabu hiyo kesho Jumatano umepanga kuzindua ...
Maafisa wanasema kisa hicho kilisababishwa na jua kali, pamoja na hali kwamba ukarabati ulikuwa umefanyika wiki iliyopita. Mkazi mmoja wa eneo hilo Deborah Stacey anasema tairi za magari zilijawa ...
Wanajimu katika maeneo tofauti ya bara Afrika wameona moto wa mviringo angani wakati wa kupatwa kwa jua. Jua hupatwa wakati ambapo mwezi huwa mbali na dunia ikilinganishwa na wakati jua ...