Picha zikionesha mgahawa wa mfanyabiashara, Aslay Mihogo ulivyoteketea alfajiri ya leo Jumatano Desemba 25, 2025 eneo la Coco Beachi jijini Dar es Salaam. Picha na Sunday George Dar es Salaam. Moto ...
Wakristo duniani kote wanamiminika Makanisani hii leo kuadhimisha siku kuu ya Krismasi. Kulingana na imani ya Kikristo, Krismasi ni siku kuu ambayo wanaamini kuwa Yesu Kristo (Isa) alizaliwa ...
Ilituma wito wa pili kumtaka Yoon atokee kwa ajili ya mahojiano leo Jumatano saa 4 asubuhi. Mwanasheria anayehusika katika uteuzi wa timu ya utetezi ya Yoon alisema jana Jumanne kuwa rais huyo ...
LIGI Kuu Bara inatarajiwa kuendelea leo Jumatano kwa kuchezwa mechi mbili ikiwa ni raundi ya 14 tukielekea kuugawa msimu. Baada ya kumalizika kwa raundi hii, tunabakiwa na moja ambayo imekuwa na ...
Badala yake Shaban Mtupa ndiye ataanza kusimamia kikosi hicho na leo Jumatano, Desemba 18 amesimamia mazoezi ya wachezaji kujiandaa na mechi ijayo dhidi ya Yanga. Makata na msaidizi wake walitua ...
Upasuaji huo unafuatia kugunduliwa kuwa na ugonjwa huo, ofisi yake imetoa taarifa hiyo leo Desemba 29, 2024. Kwa mujibu wa mtandao wa Times of Israel Jumatano iliyopita, Netanyahu, mwenye umri wa ...
Manchester United inataka kumuuza mshambuliaji wa Uingereza Marcus Rashford, 27, katika dirisha la uhamisho la Januari. (Sky Sport Germany) United walikuwa tayari kumuuza Rashford aliyehitimu ...
Akizungumza na HabariLEO kuhusu tukio hilo jana, Sabuni alisema kuwa juzi (Ijumaa) saa 4:00 asubuhi, wazazi wa Magdalena wanaoishi Tabata ulipo msiba kwa sasa, walifika ofisi za mtaa kutoa taarifa ya ...
Manchester United wamepewa nafasi ya kumsajili mshambuliaji wa Nigeria Victor Osimhen mwezi Januari, huku Napoli wakiwa tayari kwa mkataba wa kubadilishana wachezaji kwa mchezaji huyo mwenye umri ...
Mamlaka hiyo juzi Jumatano ilitoa data za awali za hali ya ... Japani ilikuwa na joto kali msimu wa joto huku halijoto mjini Dazaifu mkoani Fukuoka zikifikia nyuzi zisizopungua 35 za Selisiasi ...