‘Kuishi kwingi ni kuona mengi.’ Waswahili walisema. Juzi baada ya mchezo wa CAF wa Ligi ya Mabingwa Afrika, kati ya Yanga dhidi ya Al Hilal ya Sudan, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar Es Salaam, ...
Wakimbizi hawajafanikiwa kurejea katika majumba yao na wimbi jipya la machafuko na uhamaji umeongeza shinikizo na hivyo kuiongeza idadi ya wakimbizi wa ndani. Waangalizi wa kimataifa wamesema ...
Shirika hilo limeieleza hali hiyo kama wimbi baya kabisa la watu kulazimika kuyakimbia makazi yao kuwahi kushuhudiwa katika kipindi cha miaka miwili, huku jumla ya watu 40, 965 mjini Port-au ...
Wimbi la joto linaendelea kote barani Ulaya, huku halijoto katika kisiwa cha Sardinia nchini Italia ikitarajiwa kufikia kiwango cha juu cha 46C (114.8F) siku ya Jumanne. Kumekuwa na moto wa nyika ...
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia wakimbizi UNHCR limesema limeshtushwa na mapigano yanayoendelea Mashariki mwa Demokrasia ya Congo, hivyo kusababisha wimbi kubwa la wakimbizi kutoka ...