HATIMAYE, Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limeanza tena safari zake kati ya Dar es Salaam na Iringa baada ya kusitisha huduma hiyo kwa miaka minane, hatua itakayochochea ukuaji wa uchumi na sekta ...
KAMPUNI ya Ndege Tanzania (ATCL) imerejesha safari za moja kwa moja kati ya Dar es Salaam na Iringa, baada ya kukamilika kwa ukarabati wa Uwanja wa Ndege wa Iringa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa ...
Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM Iringa vijijini, Sure Mwasanguti akizungumza na Mabalozi wa kata ya Izazi ... Dayosisi ya Mwanga ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) inatarajia kufanya ...