WATAALAM na wadau wa mazingira nchini wameishauri wizara kuja na mikakati ya pamoja ya kukabiliana na athari za ukame ikiwamo teknolojia za kisasa za kuvuna na kuhifadhi maji, chakula na kuhamasisha ...