alitoa elimu ya uchangiaji wa damu kwa vijana hao kupima uzito, shinikizo la damu na wingi wa damu. Mganga Mfawidhi wa Hospital ya Wilaya ya Muheza, Mohamed Zuberi Mzee, alitoa rai kwa wananchi wote ...
Tatizo hilo ndilo kihatarishi kikubwa cha magonjwa yasiyoambukiza ikiwamo kisukari, shinikizo la juu la damu, kiharusi na ugonjwa sugu wa figo. Zoezi la kukimbia kidogo kidogo ni rahisi katika ...
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), hapa nchini magonjwa kama vile shinikizo la damu, kisukari na saratani yanachangia zaidi ya asilimia 33 ya vifo, wakati magonjwa ya kuambukiza kama VVU na ...
Moshi. Magonjwa yasiyoambukiza yakiwemo shinikizo la damu, sukari, magonjwa ya moyo na figo, yametajwa 'kuiteka' kambi ya madaktari bingwa na bobezi wa Rais Samia, ambao wanatoa huduma katika ...