MSHAMBULIAJI wa Mbeya City, Eliud Ambokile amesema msimu huu kuna uwezekano mkubwa wa kukipigania kikosi hicho ili msimu ujao kirejee tena Ligi Kuu Bara, kutokana na ushirikiano mkubwa uliopo baina ...
MCHEZO wa raundi ya 11 wa Ligi ya Championship kati ya Mbeya City na Biashara United uliopangwa kuchezwa leo saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Sokoine Mbeya, umeahirishwa hadi Jumanne, huku sababu ...