Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tanzania Bara, Tundu Lissu amelitaka Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) kupigania mabadiliko ili kupata uwakilishi wa wanawake kwa usawa kwenye vyombo uamuzi.
Joseph Kabila na Moïse Katumbi wanatoa wito wa dharura wa amani na umoja wa kitaifa, huku wakisisitiza umuhimu na udharura wa kuheshimiwa haki za kimsingi za raia, uhifadhi wa demokrasia na ...
Akizungumza mara baada ya kutua nchini kwa ndege binafsi, Motsepe alitoa ujumbe mzito wa shukrani, matumaini, kwa wananchi wa Tanzania, akielezea umuhimu wa nchi hii katika historia ya soka la Afrika ...
Kama tumeamua kufuata demokrasia ya vyama vingi ... jimbo la Temeke.Upinzani Tanzania walalamika wagombea uchaguzi wa serikali za mitaa kuenguliwa kiholela Wakati huo huo, Jeshi la polisi katika ...