KLABU ya Simba leo inaikaribisha JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania kwenye uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam. Kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram JKT Tanzania imeandika; “Hatimaye ...
Dar es Salaam. Wakati zikiwa zimebaki siku chache kabla ya kuufunga mwaka 2024 na kuukaribisha ... huku akiagiza vyombo kufanya uchunguzi na kumpelekea taarifa ya kina kuhusu tukio hilo, akisema ...