"Dube ni rafiki yangu mkubwa, ndiyo maana unaona siku ile dhidi ya Dodoma Jiji, alikuja kunipongeza kwa kunimwagia maji mechi ilipomalizika kwa sababu nilifunga mabao mawili, wote sisi ni mastraika, ...
Prof. Mkenda amesema, “Kuendesha taasisi kama hii (Rombo Unity), sio jambo rahisi, misukosuko mliyopitia naifahamu, kwa sababu mimi nilikuwa nafuatilia. “Kenya tangu zamani walikuwa na harambee za ...
Changamoto niliyonayo sipati mwanamume anayeonyesha nia ya kwenda mbali na mimi kimaisha. Kila ninayempata kwenye mazungumzo tu ninajua hana mpango wa kwenda na mimi mbali. Pamoja na kwamba napenda ...
“Wakati nilipokuwa sichezi kilikuwa kipindi cha changamoto ya kazi yetu. Kucheza na kutocheza kila mchezaji huwa anapitia, ila mimi naamini nimemwomba sana Mungu na kufanya sana mazoezi na muda ...
KAMA ulibahatika kutazama tamthilia miaka ile ya 1990 hadi 2000 kwenye Runinga , jina la Julieth Samson ‘Kemmy’ sio geni masikioni na hata sura yake. Hata hivyo kumeibuka sintofahamu inayoendelea kwa ...
“Unakumbuka hata kipindi kile wakati wananihojihoji na kunisemasema, aliwaambia muacheni Maswi niulizeni mimi. Ni watu wangapi wenye weledi na uthubutu wa kusema hivyo,” amesema Maswi. Amesisitiza ...
Ni kweli Rais Putin anataka kukutana na mimi” alisema Trump katika kongamano huko Arizona nchini Marekani. SOMA: Trump ajitapa kumaliza vita vya Urusi, Ukraine Trump, ambaye anatarajia kurudi Ikulu ya ...