"Juzi, kutwa nzima maji hayakuwapo. Hapa si unaona hata ukingaji ulivyo, sivyo ambavyo huwa yanakingwa kwenye gari, huo mpira ulipaswa kuingizwa kwa juu kule, yana presha ndogo, hapa sina uhakika kama ...