MGANGA wa kienyeji, Juma Lugendo (30), mkazi wa Kahama, mkoani Shinyanga, amekamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida akidaiwa kusafirisha vifaa vya uganga na dawa za kienyeji zilizochanganywa na ...
Baadhi ya vijana wanaodaiwa kufunga barabara katika mtaa wa Kiusa Manispaa ya Moshi Mkoani. Moshi. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kufanya vurugu na ...
"Nimemuagiza Waziri wa Majeshi kupendekeza fundisho jipya la ushirikiano katika masuala ya ulinzi na usalama, linalohusisha, miongoni mwa madhara mengine, mwisho wa uwepo wa kijeshi wa nchi za ...
Jeshi la Marekani limesema limewaua wapiganaji wawili wa kundi la wanamgambo wa Al-Shabaab kusini mwa Somalia katika shambulio la anga. Kamandi ya Marekani ya Afrika (US AFRICOM) imesema katika ...
Kamati ya Kimataifa ya Kuwalinda Waandishi Habari - CPJ inasema zaidi ya waandishi habari 130 wa Kipalestina wameuawa tangu kuanza kwa vita hivyo vilivyoanzishwa na shambulizi la Hamas Oktoba 7 ...
Wanafunzi hao ni wale wa darasa la tatu ambao mwakani wataingia la nne na darasa la sita ambao mwakani wataingia la saba. Hata hivyo wakati hali ikiwa hivyo, Serikali kupitia Kamishna wa Elimu, Dk ...