Barabara tisa jijini Dar es Salaam, zimefungwa kwa siku sita kuanzia leo Januari 25 hadi Januari 30, 2025 ili kupisha ...
RAIS wa Zanzibar, Dk, Hussein Ali Mwinyi, ameiagiza Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kuhakikisha wanafunzi wote wenye sifa wanapatiwa ili kuendelea na elimu ya juu kwa wakati. Dk. Mwinyi ambaye ni ...
MWAKA 2024, Tanzania imepoteza viongozi na watu mashuhuri walioacha alama kubwa katika historia ya taifa. Miongoni mwao ni Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi, ambaye alifariki dunia ...
Pia ametoa shukrani maalumu kwa Rais Samia Suluhu Hassan na watendaji wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ushirikiano wao. “Naomba tuendeleze ushirikiano huu kwa mwaka mpya ili tuzidi ...
Stesheni ya Dodoma itaitwa Samia Suluhu Hassan, Morogoro itaitwa Jakaya Kikwete, Dar es Salaam itaitwa John Magufuli, Tabora itaitwa Ali Hassan Mwinyi, Shinyanga itaitwa Abed Karume, Mwanza itaitwa ...