WATU saba wamefariki dunia baada ya bajaji waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori eneo la Mpemba, Tunduma wilayani Momba, mkoani hapa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Kamishna Msaidizi ...
Shirika la msalaba mwekundu limesema watu watano wamekufa baada ya ndege ndogo chapa Cessna 206 Stationair iliyokuwa imebeba watu sita kuanguka katika eneo la kusini mashariki mwa mji mkuu wa ...
Uchunguzi unaendelea baada ya ndege ya mizigo ya kampuni ya DHL iliyokuwa ikisafiri kutokea Ujerumani kuelekea Lithuania kuanguka jana Jumatatu na kuua mtu mmoja na kuwajeruhi wengine watatu.
“Nilipotaka kutoka, nikaona kitu kama kinanivuta, nikaanguka palepale kwenye mezani kwa chini.” Mmoja wa majeruhi katika ajali ya kuporomoka kwa jengo katika Kata ya Kariakoo Dar es Salaam, Novemba 16 ...
PICHA: Rais wa Samia Suluhu Hassan akiwajulia hali na kuwapa pole majeruhi wa ajali ya kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo ambao wamelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Ilala Jijini ...
Kampuni ya Mawasiliano ya Halotel, imejitokeza kusaidia waathirika wa kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo kwa kutoa fedha kiasi cha Sh milioni 20 ili kusaidia juhudi za uokoaji zinazoendelea. Halotel ...
Serikali imesema itaendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji ikiwemo kuboresha miundombinu ya umeme na usafirishaji na kutoa wito kwa kampuni za ndani na nje kuwekeza katika sekta ya madini hapa ...
Wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiliagiza Jeshi la PolisI kumsaka mwanamitandao na mfanyabiashara, Jenifer Jovin 'Niffer' ili kumhoji aliyempa kibali cha kuchangisha rambirambi za waliofariki ...
Katika kuadhimisha siku ya kuwakumbuka wahanga wa ajali za barabarani duniani mwaka huu Umoja wa Mataifa umeainisha mpango wa kimataifa wa kuokoa maisha katika nchi mbalimbali kutokana na ajali za ...
Dar es Salaam. Mashabiki wa Yanga wanasubiri kuiona timu yao ikianza maisha mapya bila ya Miguel Gamondi ambaye ndoa yake na klabu hiyo ilisitishwa juzi Ijumaa. Wakati Gamondi anaondoka, Yanga ...
MANCHESTER, ENGLAND: NAHODHA wa Manchester United, Bruno Fernandes aligeuka shujaa baada ya kuokoa maisha ya mwanamume mmoja kwenye ndege akiwa anakwenda jijini Lisbon, Ureno kwa ajili ya kujiunga na ...