Dar es Salaam. Shughuli za biashara katika eneo la Kariakoo mtaa wa Mchikichi na Congo zimesimama kwa muda, huku Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitarajiwa kufika eneo la tukio muda wowote kuanzia sasa.
Huku wageni wakija kupata taswira ya mahali alikozaliwa na kuishi enzi za utoto wake , wakazi wametengeneza bidhaa zenye nembo ya melania zikiwemo kandambili, keki na baga zenye sura ya Trump na ...