Wahitimu wa fani ya ufundi na uendeshaji mitambo mikubwa kutoka Chuo cha IHET, wametakiwa kuchangamkia fursa ya soko la ajira ...
Utafutaji masoko ya madini, kuongeza thamani madini na ushirikiano baina ya nchi na wawekezaji ni miongoni mwa mapendekezo ...
Chama cha Tanzania Labour (TLP) kimesema kitahakikisha kinawanadi wagombea wake zaidi ya 180 wanaoshiriki katika Uchaguzi wa ...
Msimu wa Tamthiliya na Filamu za Televisheni za Beijing Afrika umezinduliwa rasmi jijini Dar es Salaam, likiadhimisha miaka 10 ya ushirikiano thabiti kati ya China na Afrika kupitia sekta ya filamu.
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umetoa kiasi cha Sh milioni 455.7 kwa ajili ya kusambaza mitungi ya gesi ipatayo 22,785 mkoani Tabora ukiwa na lengo la kuhamasisha na kuchochea matumizi ya nishati ...
Akiambatana na Bodi ya Wakurugenzi NCAA, mkuu wa Wilaya ya Handeni Wakili Albert Msando amewahakikishia wananchi wa Ngorongoro wanaohamia eneo hilo kuwa hali ya usalama ni shwari, nyumba zimekamilika, ...