搜索优化
Rewards
English
搜索
Copilot
图片
视频
地图
资讯
购物
更多
航班
旅游
酒店
房地产
笔记本
Top stories
Sports
U.S.
Local
World
Science
Technology
Entertainment
Business
More
Politics
过去 30 天
时间不限
过去 1 小时
过去 24 小时
过去 7 天
按相关度排序
按时间排序
Habari Leo
30 分钟
SMZ kuwekeza miundombinu ya afya
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali amesema Serikali imewekeza miundombinu ya Afya kutokana ...
Habari Leo
48 分钟
Tuwathamini watafiti wa kisayansi -Prof Mkenda
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema watafiti wa kisayansi wanapaswa kuthaminiwa kwani uwepo ...
Habari Leo
55 分钟
Serikali yaingiza bilioni 287 sekta ya madini
WAZIRI wa Madini Anthony Mavunde amesema serikali imefanikiwa kukusanya bil 287 ikivuka lengo la awali la makusanyo shilingi ...
Habari Leo
1 小时
Wachimbaji watakiwa kujiandikisha uchaguzi mitaa
WACHIMBAJI wadogo wa madini Mkoa wa Geita wamehamasishwa kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura ili kushiriki katika ...
Habari Leo
1 小时
Laigwanani wahamasisha uchaguzi mitaa
VIONGOZI wa mila jamii ya Kimasai ‘Laigwanani’ ni miongoni mwa watu wanaotumika katika kuhamashisha wananchi wa jamii hiyo ya ...
Habari Leo
1 小时
Mchengerwa-Hakuna vituo bandia uandikishaji
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa-TAMISEMI-Mohamed Mchengerwa amesema taarifa zinazosambaa ...
Habari Leo
1 小时
Ukraine haijapeleka drone Mali
SERIKALI ya Ukraine imekanusha taarifa za kuhusishwa na usambazaji wa droni kwa waasi wanaopigana Kaskazini mwa Mali.
Habari Leo
1 小时
Ujenzi SGR Uganda kuanza Novemba
Uganda na Kampuni ya Ujenzi ya Uturuki Yapi Merkezi zimesaini mkataba wa ujenzi wa reli ya kisasa ya umeme wenye urefu wa ...
Habari Leo
1 小时
Hatma ya Rigathi kujulikana kesho
MAHAKAMA Kuu Kenya imepanga kutoa maamuzi hapo kesho kuhusu bunge la seneti kuendelea na hoja ya kumuondoa madarakani Naibu ...
Habari Leo
3 小时
Mtaalamu ashauri taarifa sahihi uchimbaii mdogo
PROFESA Mshiriki wa Maendeleo ya Uchumi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Prof Abel Kinyondo ameishauri Serikali kutoa taarifa ...
Habari Leo
3 小时
Vituo vya SGR ‘dili’ kampuni ya simu ikifungua duka stesheni Dar
DAR ES SALAAM: Katika kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja ya mwaka 2024, Vodacom Tanzania Plc leo imezindua duka jipya— ...
Habari Leo
4 小时
FITI watakiwa kutangaza bidhaa zao
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk Pindi Chana amekielekeza Chuo cha Viwanda vya Misitu Moshi (FITI) kujitangaza kwa ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果
反馈