Rais Samia, amemteua Prof. Palamagamba Kabudi, kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakati Jerry Silaa, ameteuliwa kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. Dk. Damas Ndumbaro, ...
Rais wa Jamhuri ya Ufaransa Emmanuel Macron, siku ya Ijumaa Desemba 13, amemteua François Bayrou kama kiongozi wa serikali ya Ufaransa, kulingana na taarifa kwa vyombo vya habari kutoka Ikulu ya ...
Kwa mabadiliko hayo yaliyotangazwa leo Jumapili, Desemba 8, 2024, Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo itaongozwa na Profesa Palamagamba Kabudi ambaye awali, alikuwa Waziri wa Katiba na ...
MTANGAZAJI na mwigizaji maarufu nchini Mwemba Burton ‘Mwijaku’ ameandika barua kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kumuomba afute tuzo zinazotolewa kiholela na baadhi ya taasisi nchini, nyingi zikikiuka ...
UFARANSA : WAZIRI MKUU wa Ufaransa Michel Barnier kajiuzulu leo baada ya wabunge wa mrengo mkali wa kulia na wa kushoto kupiga kura kumuondoa madarakani. Kura hiyo ya wabunge imeitumbukiza Ufaransa ...
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi, amebaini kuwapo wimbi la maeneo ya huduma za kijamii yakiwamo shule na nyumba za ibada kubadilishwa matumizi kwa kujengwa maduka ya ...
Jaji mstaafu, Joseph Warioba akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam,kuhusu uchaguzi wa serikali za mtaa. Picha na Michael Matemanga Dar es Salaam. Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph ...